Tanesco kisarawe

Tanesco kisarawe

muscat12

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
33
Reaction score
1
Serikali isitafute mchawi
Tanesco kisarawe wanachangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa uchumi wa taifa.
Niulize kwanini?
 
{1}Mwananchi wa kawaida amejinyima mwingine kakopa kalipia service line TAS 320000 ambopo kiutataratibu ndani ya siku 30 unatakiwa uwe umepata huduma lakini wengine wanapata wengine wanapigwa tarehe hapa kuna nini? Hilo la kwanza
 
Tanesco ni janga la kitaifa, sisi tunaishi kibamba, tuliweka single phase wakati tunahamia, kwa sasa tunahitaji kubadilisha kuweka three phase tumeshaangaika sasa ni mwaka wa pili bado tunazungushwa.
 
{1}Mwananchi wa kawaida amejinyima mwingine kakopa kalipia service line TAS 320000 ambopo kiutataratibu ndani ya siku 30 unatakiwa uwe umepata huduma lakini wengine wanapata wengine wanapigwa tarehe hapa kuna nini? Hilo la kwanza

La pili....
 
  • Au ndio yale maswala ya mkono mtupu haulambwi?
 
Huku Njombe/Makambako ndiyo Usiseme kabisa Watu tumelipia Service Line tangu mwezi wa tatu Lakini ukifuatilia unaambiwa hakuna nyaya, nguzo na mita. Huu ni ujinga gani kama shirika linashindwa kununua hata nguzo zinazopatikana hapahapa nchini kuna haja gani ya kuchukua hela ya wananchi wakati huduma hakuna? Bandikeni Tangazo la kuwa Hampokei Order mpaka vifaa vitakapopatikana la sivyo mnajimaliza wenyewe, Nchi ya kitu kidogo hii, Mimi nalalamika lakini kuna jamaa yangu yeye katoa Rushwa siku hiyohiyo na Umeme kafungiwa, na wakati yeye Kalipia mwezi wa saba. Je huku si kuchezea akili zetu?
 
Back
Top Bottom