TANESCO, kukata umeme bila kuwa na ratiba maalum inatukwaza sana wateja wenu

Sijui Magufuli aliwezaje kuondoa mgao wa umeme katika utawala wake wakati miundo mbinu na mijitu ni ile ile. Hili jambo inabidi liingizwe kwenye mojawapo ya maajabu ya dunia aisee!
Mkuu nakuonaga uko buzy sana na ule uzi wa vituko mtandaoni Leo kwa mara ya kwanza nakuona umechepuka kwenye huu uzi, vp mkuu umeguswa sana eeeh?
 
Unaowalaani hawahusiki na kukatika umeme, kwani January ni mwajiriwa wa tanesco?
 
Jana WALIKATA hiyo jioni mpk saa 8 sijui saa 9 usiku ndio wakarudisha. Na asubuhi hata sijaweka mkuu sakafuni wameubeba. F THEM
 
Mods wameingilia kati ila wafanyakazi wote wa tenesco na mawaziri wao walaaniwe wao na vizazi vyao watanzania tushirikiane kuomba kwa mungu awezeshe hili haya mateso tunayopitia ni makubwa mno kwa mfano hapa mbezi beach tangu jana hakuna umeme wamerudisha kidogo sasahivi wamekata tena hawa tanesco mungu nakuomba uwape laana wao na kizazi chao bila ya kusahau mawaziri husika amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…