Tanesco: Kumetokea hitilafu mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana huduma baadhi ya maeneo Bara na Zanzibar, tatizo linashughulikiwa

Ndo umerudi kama robo saa hapa, Kuna huduma nilikuwa nataka kupata ila sijapata kwa sababu ya umeme da!
 
Mpaka muda huu tupo tunakwiva tu na joto.
 
UMEME+SUKARI+TENESICO=CCM
 
Shirika la umeme au la GIZA mbweha nyie
 
Hawa watu wana matatizo hata hujui wa awezaje kukalia viti vya kunesanesa ns vyumba vyenye viyoyozi!
 
Kama mpaka Zenji, Tanesco tengenezi polepole hatuna haraka na umeme

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
SGR tuwaambie ukweli au Tuwaache ache kwanza! hehe ehhe hehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…