TANESCO kuna tatizo mahali

TANESCO kuna tatizo mahali

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi Great Thinkers

Kuna mambo yanaendelea saa nyingine yanasikitisha Sana.

Ivi ni Kwa nini umeme wetu siyo wa uhakika.

Yaani umeme unaenda viwandani lakini ni tia maji tia maji. Saa nyingine tunahisi kuna mtu anahujumu hii shirika.

TANESCO Temeke line ya kipawa au chang'omba ni kichefuchefu viwanda vinavyotegrmea lines hizi cha Moto wanakipata.

Kuna unplanned outages nyingi ambazo nimefuatilia for the last 5 years mpaka matajiri wengine wameshaamua kuwa na own sources of power fuatilieni mtakuwa mashahidi.

Nasikia mara nyingine ni wizi wa miundo mbinu Ila wenyewe watakwambia tatizo la kiufundi.

Ni aibu kiwanda kuwa chini Kwa zaidi ya Masaa 70 mpaka 80 Kwa mwezi kisa umeme afu unategemea tajiri aongeze mishahara.

Kwa umeme huu hatutakuja pata wawekezaji wenye akili tutabaki Tu hawa Kanjibai Wanyonyaji, Kuna watu hawaelewi impacts za kiwanda kukosa umeme wa uhakika

Matajiri wanahangaika kufikia daily targets kwenye production lakini Tanesco Kwa siku wanakulaza hata Masaa sita bila umeme NI AIBU Kwa taifa.

Hapo chini ni outages ambazo ilipangwa. Tulitegemea kukosa umeme Kwa dakika 90.

Matokeo yake umeme ulikatka Kwa zaidi ya Masaa 7 hiyo tare 5.

Tarehe 6 Hali bado Hali ikawa ni vilevile

Kwa kweli huu ni utaratibu ambao hadi watu tunashindwa kuuelewa. Maintenance gani hizi ambazo haziishi.


IMG-20221004-WA0022.jpg
 
Waziri husika anazunguka nchi nzima kuuza mitungi ya gesi. Ngoja ije imlipukie ndo akili itakaa sawa
 
Back
Top Bottom