TANESCO, kwa nini mnakata umeme kila siku Ali Maua B, Kijitonyama?

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Sisi wakazi wa Ali Maua B, Kijitonyama tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara na hasa nyakati za jioni giza linapoingia. Cha kushangaza wakati mwingine umeme hukatika zaidi ya mara kumi katika kipindi cha saa moja na wakati mwingine kila baada ya dakika mbili.

Hii katika katika ya umeme inahatarisha usalama wetu na mali zetu na hatuelewi tatizo ni nini. Tunakuombeni wahusika mlishughulikie tatizo hili ambalo limedumu kwa muda mrefu sasa na usiku wa kuamkia leo tumelala giza bila umeme usiku kucha na mpaka sasa haujarudi.

Be a responsible company.
 
TANESCO mnaitwa huku
 
Tanesco again! Huyu mdudu atakuwa wa kutisha sana kwenye nchi hii!
 
Back
Top Bottom