Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio?
Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au hitilafu yoyote, sasa ni nini mnatufanyia hiki?
Pande zenu hali ikoje Wakuu?