Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza.TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio?
Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au hitilafu yoyote, sasa ni nini mnatufanyia hiki?
Pande zenu hali ikoje Wakuu?
Wik ya pili sasa kipande cha Mbagala kuelekea Toangoma, Kongowe na Mkuranga kila kukicha ni unakatwa nakurudishwa kama mtu anachezea switch na hakuna taarifa yoyote..Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza.
Taarifa juu ya katizo siku ya leo limetolewa, na tumeambatanisha kwenye ujumbe huu.
Asante.^FL
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza.
Taarifa juu ya katizo siku ya leo limetolewa, na tumeambatanisha kwenye ujumbe huu.
Asante.^FL
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza.
Taarifa juu ya katizo siku ya leo limetolewa, na tumeambatanisha kwenye ujumbe huu.
Asante.^FL
Wik ya pili sasa kipande cha Mbagala kuelekea Toangoma, Kongowe na Mkuranga kila kukicha ni unakatwa nakurudishwa kama mtu anachezea switch na hakuna taarifa yoyote..
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.Wik ya pili sasa kipande cha Mbagala kuelekea Toangoma, Kongowe na Mkuranga kila kukicha ni unakatwa nakurudishwa kama mtu anachezea switch na hakuna taarifa yoyote..
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.Halafu, matangazo kama haya muwe mnatoa mara kwa mara... yaani mmeweka tar 16 basi mmemaliza, sijapata huo ujumbe kwa simu kama mnavyofanyaga, limeishia kwenye mitandao ya kijamii... mnaashumu kila mtu aliingia Insta tar 16 na kuona hilo tangazo?🤔😒 Postini mara kwa mara, ikiwemo siku moja kabla ya katizo. Pia postini na hapa JF.
Hii page mnafanyia nini kama hamposti vitu? Lengo la kuanzisha ni nini kama mnasubiri mpaka watu walalamike ndo mjitokeze kujibu? TANESCO
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.Kama uko chunya,bora ukazoea tatizo hili!
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.Poleni sana watu wa darisalama....sisi huku chimpumu ni nwendo wa kuwasha moto tu na vibatari .... hao tanesco ndio kina nani ?
Habari, ndugu mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi.
Pole sana kwa changamoto hii. Tunakushauri pia ujiunge na makundi yetu ya WhatsApp, kupitia ambayo tunatoa taarifa mbalimbali kuhusu makatizo ya umeme, pamoja na taarifa nyingine muhimu zinazohusu huduma zetu.
Makundi haya pia yanakupa fursa ya kuwasilisha changamoto au kutoa taarifa kuhusu huduma unapokutana na hitilafu au kukosa huduma bila taarifa. Hivyo, mawasiliano hayo ni ya pande zote mbili—si tu sisi kutoa taarifa, bali pia kupokea na kufuatilia changamoto zinazowakabili wateja.
Tumepokea ujumbe wako kuhusu kutopokea ujumbe mfupi (SMS). Tafadhali tutumie tena namba yako ya simu ili tuweze kuhakiki uwepo wake katika orodha yetu. Pia, tutumie namba yako ya WhatsApp pamoja na wilaya unayoishi, ili tukusaidie kujiunga na kundi linalokuhudumia.
Asante. ^FL
Kwa nini taarifa kama hizi msiwatumie wateja wenu directly kwenye namba zao kama mnavyowatumia zile za rais kutoa msamaha wa adhabu/penalty kwa wadaiwa sugu?Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza.
Taarifa juu ya katizo siku ya leo limetolewa, na tumeambatanisha kwenye ujumbe huu.
Asante.^FL
Habari, ndugu mteja na asante kwa ujumbe huu. Tumeipokea kwaajili ya kuifanyia kazi.Mko hapa JF, tupeni taarifa hapa kama mnavyowapa hao wa whatsapp. Imagine mko na tool ya kitanzania, kwaajili ya watanzania inayotuwezesha kupata taarifa kirahisi bila hata ya kuwa kwa 'group' bado mko mnakaza fuvu
Nawauliza tena, mmefungua hii page ya nini kama hamuweki updates? Mmefungua hii page ya nini kama mnataka tuje kupata taarifa kwenye groups za WHATSAPP? Fungeni basi ili tujue wenzetu taarifa mnazitoa kupitia Whatsapp pekee TANESCO
Kwa nini taarifa kama hizi msiwatumie wateja wenu directly kwenye namba zao kama mnavyowatumia zile za rais kutoa msamaha wa adhabu/penalty kwa wadaiwa sugu?
Jana ilikuwa Jumamosi ya pili mfululizo mji wa Kahama anakatiwa umeme saa 2 asubuhi unarudishwa saa 2 usiku na hakuna taarifa yoyote imayotolewa kwa wateja ili wajue uwepo wa katizo la umeme.
Ni kweli nilikuwa Kilosa na viunga vyake kila nusu saa power offTANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio?
Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au hitilafu yoyote, sasa ni nini mnatufanyia hiki?
Pande zenu hali ikoje Wakuu?