Kama watumishi wenu wa Kilosa, Dumila, Dakawa nk hawatoi taarifa za hali ya umeme kwenye maeneo hayo basi ni kama mnawalipa mishahara for nothingHabari Faana asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama bado mnapitia changamoto hiyo kwa msaada zaidi.^FL
Habari sir KhanKwanini Chunya Kila alhamis na jumamosi mnakata umeme?
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi, tunashukuru kwa hii taarifa. Tunaomba tuifuatilie na kutoa mrejesho juu ya suala hii hivi karibuni.^HNKama watumishi wenu wa Kilosa, Dumila, Dakawa nk hawatoi taarifa za hali ya umeme kwenye maeneo hayo basi ni kama mnawalipa mishahara for nothing
Ni wilaya yote ya chunya usijifanye kama haujuiHabari sir Khan
asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe Kata, Mtaa/Kijiji na namba ya simu kwa msada zaidi.^HN
Ndugu mteja, tafadhali tupatie namba ya simu kwa msaada zaidi.^HNNi wilaya yote ya chunya usijifanye kama haujui
Ili wapate uzoefu wa kuunganisha nyaya chap chap wakati wa el nino.TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio?
Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au hitilafu yoyote, sasa ni nini mnatufanyia hiki?
Pande zenu hali ikoje Wakuu?
Ila siku hizi Tanesco wanajitahidi kwenye mawasiliano, na wanaomba radhi hao kuliko hata mpenzi wangu.....
Wapenzi wajifunze kwa Tanesco kuomba radhi ππ€£π€£π€£π€£ wapenzi waje kuchukua somoππ
Habari ndugu mteja,Ni saa kumi na mbili saivi mnatukatia umeme tena, nlitaka niwalaani lakini basi ππ TANESCO
Habari, ndugu mteja na pole kwa kukosa umeme. Je, upo katika makundi yetu ya WhatsApp kwaajili ya kupata na kutoa taarifa juu ya huduma zetu?Ni saa kumi na mbili saivi mnatukatia umeme tena, nlitaka niwalaani lakini basi ππ TANESCO