TANESCO leo wamecheza mchezo wa kijumbe mkorofi

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani.

Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua.

Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake.

Hii katika katika ya umeme leo mchana Dar es salaam yote hakuna umeme na kila mtaa wanajua wao ndio pekee wamekatiwa.

Usiku mwema.

I hope umeme utarudi kote na maisha yaendelee
 
.
IMG_20230822_183256.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wa
Kijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani.
Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua.
Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake.
Hii katika katika ya umeme leo mchana Dar es salaam yote hakuna umeme na kila mtaa wanajua wao ndio pekee wamekatiwa.
Usiku mwema.
I hope umeme utarudi kote na maisha yaendelee
Hata wafanye nini mkataba wa Bandari haukubaliki
 
Back
Top Bottom