Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bongo nyosoSio Dar tuu, na Mikoa Mingine.
Hata wafanye nini mkataba wa Bandari haukubalikiKijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani.
Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua.
Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake.
Hii katika katika ya umeme leo mchana Dar es salaam yote hakuna umeme na kila mtaa wanajua wao ndio pekee wamekatiwa.
Usiku mwema.
I hope umeme utarudi kote na maisha yaendelee
Sio Dar tuu, na Mikoa Mingine.
Ni kweli na sasa wenzenu nao wanatafuta mwekezaji. Natarajia umeshawasikia akina Jussa kule.
Ni kweli na sasa wenzenu nao wanatafuta mwekezaji. Natarajia umeshawasikia akina Jussa kule.