Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo limepokelewaWamekata usiku wa manane huku mpaka saa hii,
Nafikiri hiyo betting ikiwekwa kwa masaa pia itakuwa poa
Mkata umeme ni mshkaji wetu Sana, mshiko wake tutagawana Tu kwenye pombe pia, mademu na kupigana tafu kiumehakuna cha bonge la idea. mkata umeme mutamutajirisha kampuni ifilisike
Nitasikitika sana nikisikia una familia inayo kutegemea labda kama upo kwa shemeji yako kutwa kushinda na house girl jikoniSisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa.
Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme.
Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku.
Mkeka unadumu masaa 24.
Mteja anatakiwa kubashiru mahali alipo Umeme utakatika mara ngapi kwa siku.
Kiwango cha kuweka kwenye mkeka kinaanzia tsh 500,na kuendelea
Odds ziwe kama hivi
1. Umeme utakatika mara moja =×10
2.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 3=×25
3.Umeme utakatika zaidi ya mara moja lakini sio zaidi ya mara 5 =× 50
4.Umeme utakatika zaidi ya mara 5 lakini sio zaidi ya mara 8=×75
5.Umeme utakatika zaidi ya mara 8=×80
6.Umeme utakatika siku nzima=× 200
Nitaweka mawakala kila wilaya kudhibiti udanganyifu.
Mfano mtu akaweka tsh elfu 10,000 akasema umeme utakatika siku nzima atajishindia tsh 10,000× 200= tsh 2,000,000/=
Mnaonaje hili wazo,je sheria inaruhusu?, Brela watakubali?
Karibuni kwa maoni na ushauri
Mwisho kabisa nimshukuru mama kuniwezesha kuandika hapa.
Hili ni Jukwaa la chit chat and jokes...Nitasikitika sana nikisikia una familia inayo kutegemea labda kama upo kwa shemeji yako kutwa kushinda na house girl jikoni
Utakuwa na stress,hili sio jukwaa la biashara ni chitchat,alafu mbona imekuuma sanaNitasikitika sana nikisikia una familia inayo kutegemea labda kama upo kwa shemeji yako kutwa kushinda na house girl jikoni