Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaafu kuna mijinga ikazungushwa mikono eti Lowasa mabadiriko?Na bado hasara zitaendelea kwa miaka mingi ijayo kutokana na management ya Tanesco kuingiliwa na wanasiasa. Kama Kikwete na Lowassa wasingejifanya kuwa wajuaji na kuigomea management ya Tansesco ambayo iligma kusaini mkataba na Richmond basi pesa chungu nzima tulizopigwa na Richmond/Dowans zisingepotea na kuishia mifukoni mwa fisadi Aziz Rostam.
Ni ujinga mkubwa mkuu!Tanesco shirika la ajabu sana, mpaka sasa kuna maelfu ya wateja wanasubiri kupata huduma ya umeme lakini shirika limeshindwa kuwapa huduma. Hii si sawa hata kidogo ukizingatia serikali inakusanya mapato ya kodi ya majengo kupitia mifumo ya manunuzi ya umeme hii ni sawa na kuihujumu serikali maana serikali inapoteza mapato mengi sana kwa sababu ya Tanesco kushindwa kuwafikia wateja hao.
Serikali kuweni serious njooni na mikakati mahususi juu ya hili la Tanesco acheni siasa siasa huku mnakwaza wananchi wenu pelekeni miundombinu ya umeme kila mahali acheni usanii wa kufikisha nguzo kwenye visenta na kutelekeza hapo wananchi wanabaki wanahangaikia umeme
Tanesco ni mzigo wa misumari. Kwa mikataba iliyoingia na makampuni yanaowauzia umeme ni mikataba ya kifisadi na imepelekea Tanesco kushindwa kujiendesha kibiashara na sasa wamebaki kutoa huduma ambayo bado ni mbovu.
Mzee Benjamini Mkapa pumzika kwa amani lakini mikataba yote mibovu una mkono wako.
Bado 60% kama hasara ni kubwa mno. Sidhani kama CAG wasingeandika kuhusu hilo unless dhalimu Magufuli aliwazuia CAGs kukagua Financial Statements za Tanesco.
Mkuu jikite kwenye nchi yako , huo ndio uzalendoBak mzee wa box kwa US hali ya upoteevu ukoje?
huyo ni Ndondocha wa mtu , asikuumize kichwaKama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuleta ujinga usiohusu kitu katika uzi wa maana. Ufisadi na hadi hii leo Mbowe hajafunguliwa kesi na yoyote yule kuhusu huu ujinga ulioandika hapa.
Inawezekana mkuu. Kama kiwanda cha nondo mfano Hongyu Steel kule Visiga wanaweza kulipa bill ya umeme ya million 500+ kwa mwezi basi inawezekana.Tanesco hawajawahi kukusanya trilioni 1.8 kwa mwenzi acheni kudanganya watu kwahiyo tanesco wanaizidi TRA?
Duuh 😲😲🤣