ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Kwa yeyote atakayehusika hapo TANESCO upande huu wa Temeke/Mbagala tunaomba msaada tupatiwe namba zenu hai za huduma ya dharula, yaani tunapata shida hujui namba ya kupiga!
Hii ni hatari umeme ni kitu hatari sana. Muda wote mnapaswa kutupatia contacts zenu pindi litokeapo tatizo mpatikane kwa wakati.
Hii ni hatari umeme ni kitu hatari sana. Muda wote mnapaswa kutupatia contacts zenu pindi litokeapo tatizo mpatikane kwa wakati.