Kwa yeyote atakayehusika hapo
TANESCO upande huu wa Temeke/Mbagala tunaomba msaada tupatiwe namba zenu hai za huduma ya dharula, yaani tunapata shida hujui namba ya kupiga!
Hii ni hatari umeme ni kitu hatari sana. Muda wote mnapaswa kutupatia contacts zenu pindi litokeapo tatizo mpatikane kwa wakati.