A
Anonymous
Guest
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani mashine za kusaga nafaka na kukoboa mpunga imefika mahali tumekata tamaa.
Tumejaribu mara kadhaa kuwasiliana na TASESCO Mbarali majibu yao ni kwamba tatizo tunalijua tunalifanyia kazi lakini miezi inaenda tumepiga simu hadi TANESCO Makao Makuu lakini hakuna hatua yoyote.
Soma Pia: Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara
Tunaomba msaada kufikisha ujumbe ili waone aibu labda watashughulikia.