Habari, ndugu mteja.
Kwanza, tunaomba radhi kwa kuchelewa kukujibu. Akaunti yetu ilipata changamoto kwa muda, lakini kwa sasa huduma imerejea kama kawaida..
Tumepokea taarifa ya changamoto uliyoiwasilisha na tunaifanyia ufuatiliaji wa kina na tutakurudia na majibu juu ya chanzo chake pamoja na mpango wa suluhisho. Tunaomba uvumilivu wako kwa muda mfupi, na tutakurejea mara tu tutakapopata mrejesho kamili.
Asante sana! ^FL