Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki kuanzia majira ya saa nane mchana.
Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kurekebisha changamoto iliyojitokeza ili kuwezesha manunuzi ya umeme kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Kwa sasa tunawashauri wateja kufanya manunuzi ya tokeni za umeme kupitia njia mbadala za mawakala wa LUKU waliopo nchi nzima wakati hatua za utatuzi zikiendelea.
Tutawataarifu huduma itakaporejea Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza.