johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maharage Chande ndio aliifilisi kabisa NBC sasa kaingiaTanescoMkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.
Source: ITV habari
Anza wewe na mumeo kwanzaHamieni kenya
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.
Source: ITV habari
Naona unaendelea kunyoka!Utapeli mtupu toka serikali ya majizi ya kura.
Naona unaendelea kunyoka!
Typing error hiyo wewe nyumbu.Kunyoka ndio nini wa sukuma gang?
Tindo unatesekea wap awamu ya 6? Nakumbuka post zako awam ya tano..yaan ni shoody mwanzo mwishooo....awam hii unakosa umeme unakosa maji..yaan hakuna pakutokea...ngoshaa babaaaaKunyoka ndio nini wa sukuma gang?
hawaogopi kusema uongo?Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.
Source: ITV habari
Tindo unatesekea wap awamu ya 6? Nakumbuka post zako awam ya tano..yaan ni shoody mwanzo mwishooo....awam hii unakosa umeme unakosa maji..yaan hakuna pakutokea...ngoshaa babaaaa
Ndiyo yule aliwanyima wafanyakazi wa NBC wasipaki magari yao kwenye parking za NBC ili aweze kupaki magari yake lukuki ya kifahari mwenyewe?Maharage Chande ndio aliifilisi kabisa NBC sasa kaingiaTanesco
Sasa utaishije!!Bora nisiwe na umeme ama maji ya bomba kuliko kutawaliwa na mtu muovu.