Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

Bora nisiwe na umeme ama maji ya bomba kuliko kutawaliwa na mtu muovu.
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jomba
 
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jomba

Ananyoosha kwa wizi wa 1.5t na lile kundi lake la watu wasiojulikana?
 
Nchi iPo kwenye uchumi wa kati
 
Katiba yetu si inaruhusu maandamano??
Kuna mtu amepewa majibu ya kuridhisha juu ya kilichosababisha mgawo??
Kwanini tusiandamane ili hii mipuuzi iache kutuzoea?
Tukiichekea itaanza na Mgawo wa kutoka nje
 
Novemba ulitangazwa mgao!

Februari napo umetangazwa mgao.

Hawa watu [CCM, Tanesco] hawaiwezi hii kazi.

Ni majuha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…