KERO TANESCO mkikata umeme jioni rudisheni kwa wakati

KERO TANESCO mkikata umeme jioni rudisheni kwa wakati

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye shuka ukitingisha tu kwa uwoga umepigwa na nyoka acheni izo mambo


Af ilo treni la umeme nao a mda wake ulikuwa bado kuja tz kabisa
 
Hebu fafanua vyema Nyoka yupi na ukijitingisha nini...??
Umeenda mbali sana mm nimeongea nikimaanisha snake kwa maana ukigeuka na nyoka akiwa ndani ya duvet sizani kama utapona
 
Hasara tupu zamani walikuwa TV ikiungua kwasababu yao kukata umeme walikuwa wanalipa imeishia wapi hii
Hata Kama vipo wengi hawatajua lolote kwa namna vilipotezewa mdo mdo Hadi vinapotea.
 
Back
Top Bottom