Tanesco mlichelewa wapi kuwa na msemaji mwenye uelewa wa mnachokifanya?

Day 1 gongs

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
392
Reaction score
758
Salamu,

Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA

Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.

Kwa Nini hawakuchukua tahadhari mapema,hawakuona huo mto?
20230929_221501.jpg
 
Maelezo yake yamenyooka ila kuna hili sasa ....
1. Ukiangalia zilipo hizo nguzo ni hatari sana...huo mto kingo zipo wazi hivyo maji yamekua yakila taratibu..ina maana hawakuliona hilo .....hakuna ukaguzi wa miundombinu?...ukizingatia huo umeme ni mkubwa sana...hili halikubaliki.
2. Katika zama hizi kwa nguzo kama hiyo unachimba na sururu?...
Kuna namna hili shirika lisaidiwe kikwelikweli otherwise watakuwa wanaoga lawama kila siku..
Asante
 
Salamu,

Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA

Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.

View attachment 2836577
Harafu huu ni ujinga kwamba Umeme wote inapelekwa sehemu kiasi kwamba pakipata shida Nchi inakuwa gizani.

Akili za kipuuzi hivyo Huwa mnazitoa wapi?

Sasa ni vyema Kila chanzo kiwe na Kituo independent Cha kupoozea umeme ili shida ikitokea area A tuitumie umeme kutoka area B.

Msilete umeme wote wa bwawa la Nyerere hapo Ubungo.
 
Tunataka kurasa za mitandao ya kijamii ya Kila Mkoa, wewe semea ya jumla, hawa wengine tuwasiliane nao huku mikoani kupitia insta, Facebook, wewe kazi yako soma mawazo au malalamiko ya wananchi katika social network za mikoa, halafu ulizia kama yamefanyiwa kazi
 
Maelezo yake yamenyooka ila kuna hili sasa ....
1. Ukiangalia zilipo hizo nguzo ni hatari sana...huo mto kingo zipo wazi hivyo maji yamekua yakila taratibu..ina maana hawakuliona hilo .....hakuna ukaguzi wa miundombinu?...ukizingatia huo umeme ni mkubwa sana...hili halikubaliki.
2. Katika zama hizi kwa nguzo kama hiyo unachimba na sururu?...
Kuna namna hili shirika lisaidiwe kikwelikweli otherwise watakuwa wanaoga lawama kila siku..
Mafungu wanayo ni vile kujipendelea viongozi wa juu Kwa semina safari na vikao vya mara Kwa mara na kusahau Jambo la msingi la kazi zao.
 
Tunataka kurasa za mitandao ya Kila Mkoa, wewe semea ya jumla, hawa wengine tuwasiliane nao huku mikoani, wewe kazi yako soma mawqzo au malalamiko ya wananchi halafu ulizia kama yamefanyiwa kazi
Nazani wapo wasemaji wa kila mkoa lakini ndiyo hao si wahandisi inabaki kila Jambo kuuliza hata wakiingizwa chaka wapo Tu, si lazima msemaji wa mkoa awe Mhandisi lakini ushirikiano wa kutosha uwepo .
 
Salamu,

Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA

Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.

View attachment 2836577
Kuna mwana dada alikuwepo nafikiri alipanda cheo ….sijui ni mmama yule… huyu bado sijaona kipya tunataka taarifa kinachoendelea na tanesco na kabla jambo halijatokea…..
 
Kuna mwana dada alikuwepo nafikiri alipanda cheo ….sijui ni mmama yule… huyu bado sijaona kipya tunataka taarifa kinachoendelea na tanesco na kabla jambo halijatokea….
Itakuwa alishindwa kuivaa nafasi ngoja tuone na huyu tena yupo ndani ya wanachokifanya (fani).
 
Wananchi tunataka kuona tunapata huduma bora za umeme lakini siyo kuwa na Msemaji Bora wa TANESCO.

Umeme!, Umeme!, Umeme!

"Actions speak louder than words."

Salamu,

Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA

Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.

View attachment 2836577
 
Salamu,

Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA

Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.

View attachment 2836577
Eti chama tawala....

motherfvcker this is business not politics!

chama tawala my foot!
 
Umeme ukizalishwa Ntwala, tuseme, unapelekwa Ubungo halafu unarudishwa kwa matumizi Ntwala.

Kwa hiyo Ubungo pakipigwa nchale au radi au bomu la kurusha kwa nkono umeme nchi njima unajima.

Kijana kimetoa siri ya udhaifu wa mfumo wa umeme kwa adui wa nchi bila idhini ya mamlaka nje ya TANESCO.
 
Wananchi tunataka kuona tunapata huduma bora za umeme lakini siyo kuwa na Msemaji Bora wa TANESCO.

Umeme!, Umeme!, Umeme!
Hilo Sahihi lakini bila kiungo wa Kati ya wananchi na watoa huduma huo umeme utakuwa na Kero nyingi kama uonavyo sasa , tunaamini atakuwa mshauri mzuri wa management kutokana na mahitaji ya walaji na namna ya kuhamasisha uwajibikaji Kwa watendaji wa shirika.
 
Eti chama tawala....

motherfvcker this is business not politics!

chama tawala my foot!
Ni mfano wa zile mbio za wiki Moja ikazima upepo wa kampeni ya code za simu.....

Hiyo ni bizness iliyojaa siasa hivyo haiwezi tenganishwa na hilo kamwe tofauti na hapo tungeona faida zake kwenye vitabu vya kihasibu kila mwisho wa mwaka , toa ujuha wako.

Hao ndiyo wamepewa/wamejipa dhamana ya Hilo shirika,hivi rambirambi za HANANG zilitimia?
 
Blah blah

Tangu lini biashara iliyochanganywa na SIASA ikafanikiwa?

NONE!
 
Back
Top Bottom