Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Harafu huu ni ujinga kwamba Umeme wote inapelekwa sehemu kiasi kwamba pakipata shida Nchi inakuwa gizani.Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
View attachment 2836577
Mafungu wanayo ni vile kujipendelea viongozi wa juu Kwa semina safari na vikao vya mara Kwa mara na kusahau Jambo la msingi la kazi zao.Maelezo yake yamenyooka ila kuna hili sasa ....
1. Ukiangalia zilipo hizo nguzo ni hatari sana...huo mto kingo zipo wazi hivyo maji yamekua yakila taratibu..ina maana hawakuliona hilo .....hakuna ukaguzi wa miundombinu?...ukizingatia huo umeme ni mkubwa sana...hili halikubaliki.
2. Katika zama hizi kwa nguzo kama hiyo unachimba na sururu?...
Kuna namna hili shirika lisaidiwe kikwelikweli otherwise watakuwa wanaoga lawama kila siku..
Nazani wapo wasemaji wa kila mkoa lakini ndiyo hao si wahandisi inabaki kila Jambo kuuliza hata wakiingizwa chaka wapo Tu, si lazima msemaji wa mkoa awe Mhandisi lakini ushirikiano wa kutosha uwepo .Tunataka kurasa za mitandao ya Kila Mkoa, wewe semea ya jumla, hawa wengine tuwasiliane nao huku mikoani, wewe kazi yako soma mawqzo au malalamiko ya wananchi halafu ulizia kama yamefanyiwa kazi
Kuna mwana dada alikuwepo nafikiri alipanda cheo ….sijui ni mmama yule… huyu bado sijaona kipya tunataka taarifa kinachoendelea na tanesco na kabla jambo halijatokea…..Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
View attachment 2836577
Itakuwa alishindwa kuivaa nafasi ngoja tuone na huyu tena yupo ndani ya wanachokifanya (fani).Kuna mwana dada alikuwepo nafikiri alipanda cheo ….sijui ni mmama yule… huyu bado sijaona kipya tunataka taarifa kinachoendelea na tanesco na kabla jambo halijatokea….
Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
View attachment 2836577
Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
View attachment 2836577
Eti chama tawala....Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
View attachment 2836577
Hilo Sahihi lakini bila kiungo wa Kati ya wananchi na watoa huduma huo umeme utakuwa na Kero nyingi kama uonavyo sasa , tunaamini atakuwa mshauri mzuri wa management kutokana na mahitaji ya walaji na namna ya kuhamasisha uwajibikaji Kwa watendaji wa shirika.Wananchi tunataka kuona tunapata huduma bora za umeme lakini siyo kuwa na Msemaji Bora wa TANESCO.
Umeme!, Umeme!, Umeme!
Ni mfano wa zile mbio za wiki Moja ikazima upepo wa kampeni ya code za simu.....Eti chama tawala....
motherfvcker this is business not politics!
chama tawala my foot!
Blah blahNi mfano wa zile mbio za wiki Moja ikazima upepo wa kampeni ya code za simu.....
Hiyo ni bizness iliyojaa siasa hivyo haiwezi tenganishwa na hilo kamwe tofauti na hapo tungeona faida zake kwenye vitabu vya kihasibu kila mwisho wa mwaka , toa ujuha wako.
Hao ndiyo wamepewa/wamejipa dhamana ya Hilo shirika,hivi rambirambi za HANANG zilitimia?