ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA.
Hizi siku mbili mmesumbua sana Mwanza, samaki wanaoza umeme hamna