Wanarudisha usiku wa manane. Wameamua kuwasapoti wachawi sasa.Tanesco hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA.
Hizi siku mbili mmesumbua sana Mwanza, samaki wanaoza umeme hamna
Mbezibeach tishazoea mkuu n kama kuna mtu X wake yuko tbovu anaamua kutuadhibu wote anywayTanesco hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA.
Hizi siku mbili mmesumbua sana Mwanza, samaki wanaoza umeme hamna
Hili la sasa gawiwwoWalisema mgao umekwisha, Sasa mbona mgao wa kimya kimya?
Kwamba kina cha maji kimepungua 😂, unaota wewe. Wanakata kwa sababu zingine labda, ila sio upungufu wa umeme, maana mashine nyingi za gesi zimezimwa kutokana na umeme kuzidi mahitajiTanesco hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA.
Hizi siku mbili mmesumbua sana Mwanza, samaki wanaoza umeme hamna
Hakuna mgao, mashine nyingi za gesi zimezimwa sababu umeme umezidi mahitajiTanesco sijui Kuna shida Gani ,
Hizi mvua zote Leo umeme umeanza kuwa wa mgao tena