TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

Kwa siku tano zilizopita kila jioni wanakata umeme mpaka saa 3 au 4 usiku huku Kigamboni.
 
Hata hiku Tbr wanakata ndani ya sekunde 2 wamewasha, wanataka kutuunguzia vitu hawa
 
Back
Top Bottom