TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

Kwa siku tano zilizopita kila jioni wanakata umeme mpaka saa 3 au 4 usiku huku Kigamboni.
 
Hata humu Kilimanjaro wilaya X walipita nao shwaaaaa
 
Hata hiku Tbr wanakata ndani ya sekunde 2 wamewasha, wanataka kutuunguzia vitu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…