Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Ng'ombe ana akili. Sema manyumbu.Kwa sababu ng'ombe sisi tutanunua tu mafuta kwenye magari yao. Kama wanaweza kununua magari ya milioni 600 bila sababu yoyote ya maana, tutashindwaje kununua mafuta ili dereva apigwe na AC wakati anamsubiri Waziri asaini mikataba ya kimagumashi!!
Viongozi wa serikali wanatuona sisi ni ng'ombe tutafanya wakitakacho.