Ng'ombe ana akili. Sema manyumbu.Kwa sababu ng'ombe sisi tutanunua tu mafuta kwenye magari yao. Kama wanaweza kununua magari ya milioni 600 bila sababu yoyote ya maana, tutashindwaje kununua mafuta ili dereva apigwe na AC wakati anamsubiri Waziri asaini mikataba ya kimagumashi!!
Viongozi wa serikali wanatuona sisi ni ng'ombe tutafanya wakitakacho.
Sawa mkuu. Viongozi watuona sisi ni manyumbu kwa kuwa ni kweli sisi ni manyumbu.Ng'ombe ana akili. Sema manyumbu.
Hadi siku tutakapokubali kupoteza kila kitu ili tupate kitu kizuri ndiyo itawezekanaJamaa wanadharau za kis*ng* sana na hela za wanainchi wanahisi wao ni untouchables. MUNGU awalinde tu ila siku wanainchi wakisema enough is enough tukasanuka na kutaka kila kitu kisimame hawa mbwa hakuna atakayepona watajikuta wote wapo matatani.
Hiyo siku inakuja
Hii kodi sio mpya tunatozwa kitambo, labda hulipagi umeme au unalipwa na mwenye nyumba yako?
Mbona ipo kitambo tu
Hii Ipo Tangu Julai 2023
Tangazo lilitoka toka zamani, ni watu tu wameamua kufukua makaburiHapo sijaona kipya.........wamefanya maamuzi siku nyingi sasa hivi wanareta umbeya........sijui hizo interview za kazi huwa hanawapa nani hawa bedouin
Mbona ni ya mwaka 2023!
Waliwaambia wananchiKwani ilipoongezwa walimwambia nani?
Waliwaambia wananchi