TANESCO mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili tutawashitaki; Serikali hamna huruma

Hilo tangazo lenyewe linajieleza ni la tarehe 26,july 2023 sasa sijui unataka ushahidi gani!

Tarehe kwenye andiko ni ushahidi wako kuwa lilifikishwa kwetu? Punguza ujuaji!

Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
 
Tanesco waache kutumika kukusanya kodi hiyo. Wapangaji wengi wanalipa kodi hiyo huku nyumba/majengo si yao.
 
Walianza na 1000 wakapandisha 1500 kwa elf kumi na tano 15000 kwa ghorofa ,
 
Sahivi wamepandisha tena 2000 kwa 18000 kila mwezi
 
Wanampango ifike 5000 kwa elf 20000 sasa haya ni maisha gani wanatuletea
 
Napata hasira ila nikiwaza kutanuka moyo naacha....
 
 

"TANESCO mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili tutawashitaki", usimuamini mtanzania huyu katishia nyau kisha kasepa wala hana habari.​

 
Hii Kodi inayokusanywa kwa mbembwe hata tra hawaijui inakusanywaje na onaeda wapi hizi ni hela za mwigulu na mama abdul
 
Kuna lile mtu sijui Mwigulu, yaani linachojua ni kukamua maskini tuu Kwa mikodi ya kinyonyaji, halina ubunifu wowote, na nchi lazima tuwe na wabunge wa kutosha kutoka upinzani, CCM hawana uwezo tena wa kuendesha nchi wanatuongezea umaskini tuu, nchi mpaka leo sukari na mafuta ya kula ni anasa, aibu tupu, tupige kura kuyaondoa haya majibu ya CCM utakuwa mwanzo mzuri, Kenya waliwatia adabu na kuwapoteza KANU ndio maana wanaenda mbele
 

"TANESCO mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili tutawashitaki", usimuamini mtanzania huyu katishia nyau kisha kasepa wala hana habari.​

Sijui nani aliwaambia ujinga na uchawa ni ajira
 
Umekimbia moja kwa moja
 
Hivi Nyumba zenye Mita za LUKU zaidi ya Moja wanalipaje?
Mfano Nyumba Ina mita 4 je watalipisha Jero jero Kila mita au wanapiga quadruple 2K?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…