TANESCO mnachonifanyia sijapenda kabisa na sitopenda muwafanyie wengine

ulivyo kana uhusika wa bro...alafu hukutaka mambo mengi ukataka kubeba hivyohivyo ingekua ni me kaitwa ke sasa ungeshuhudia panic ya hali ya juuh hapa
Unajua mwanzo nilikuwa natumia nguvu nyingi sana kuwaelewesha watu kama mimi ni mdada....ila saizi naona niache tu kila mtu anione anavyoniona πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nenda Tanesco Kibamba, Ukiwachekea hao utakaa Mwezi na biashara hutafanya hii ndio Tz ya sa100
 
Haya malalamiko umeyaandika kwenye uzi wao maalum?
 
TANESCO jana jioni mlisahau kukata umeme huku kwetu. Leo msiache kufanya hivyo mapema
 
Wanataka pesa ndo waje Tena tanesco Dar ni mafedhuli hawana mfano hao watu...
Mikoani wako vzr sana ,Kuna mama nae ilizingua halafu alikua anafuga kuku 3 days Hana umeme anakesha nje,nikampigia Rafiki yangu nkaongea nae yeye ana akawapigia simu akawaambia ni nyumbani kwake ndo wakaja Saa Tano usiku kutengeneza hapo la sivyo utadoda watafutie kidogo dogo ndo watakufikiria ndugu wanapenda rushwa sana hao
 
Duuh.....aisee changamoto hizii
 
Wekezeni kwenye solar, bongo kuna jua kuliko mahitaji,na wanaojenga hakikisheni mnaweka solar ni muhimu kama maji tuu, ukinunua solar nzuri na battery TANESCO unawasahau kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…