Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Mnapata faida gani ya kuwasha na kuzima umeme kila baada ya dakika 1?.
Hivi huu ni utoto ama?
Hivi huu ni utoto ama?
Bado hawajapata mishahara, wana stressMnapata faida gani ya kuwasha na kuzima umeme kila baada ya dakika 1?.
Hivi huu ni utoto ama?
Badili iyo title ya mihangaiko,jijenge kwa kusema umetoka job sio kuhangaika,kwanini uhangaike.Watu tumetoka kwenye mihangaiko tunataka tupumzike ninyi kazi yenu ni kuchezea switch huko OFISINI. Huu ni utoto sasa.🤟
Hahahahaha...😁😁😁Bado hawajapata mishahara, wana stress
Duuuh..😨Wanapitisha magendo ya wakubwa wa serikali ya CCM.
Aiseee...Nchi haina mwenyewe hii.
Kuna wengine tunahangaika, Wakiitwa wenye kazi zao hatuwezi kwenda😃😃😃.Badili iyo title ya mihangaiko,jijenge kwa kusema umetoka job sio kuhangaika,kwanini uhangaike.
Kweli Mkuu.Labda Wana hasira na Berkane. Berkane wameniuzdhi pia