Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi.
Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata watakuja na timu kubwa kuhakikisha unarudishwa mapema ila sasa wanakula kwa urefu wa kamba zao mitano tena.