TANESCO mtatuunguzia vitu

TANESCO mtatuunguzia vitu

TANESCO NI WA KUSHTAKIWA. TANGIA JANA USIKU WANAKATA UMEME WANARUDISHA WANAKATA WANARUDISHA ZAIDI YA MARA 10. HII NI KUUNGUZIANA VITU.
UFUNDI GANI UWO.. KAMA KUNA MTOTO ANACHEZEA SWITCH.
Hawa jamaa miaka yote yaan hitilaf yao ya umeme ikileta madhara na hasara kwa wananchi imekula kwa mwananchi!! Ila mwananchi sasa hata uitie hasara tanesco hata ya buku tano utajua ujui!!
 
Majangili yashajipanga.

Utafiti huo unaendelea au niseme ni endelevu tangia Januari atangaze kumwaga matrillioni kurakabisha gridi la umeme.

Si watuonyeshe tu hiyo MOU ya Dubai kuliko kutufedhehesha na mazingaombwe haya. Kwanini tunajiwekea doa la "Kutokuweza" ? Wanakera sana hawa majangili.

Rudisheni Kadi za Uanachama za CCM muone kama umeme haurudi na bei ikawa poa kabisa.

Muwapeleke Kariakoo
 
TANESCO NI WA KUSHTAKIWA. TANGIA JANA USIKU WANAKATA UMEME WANARUDISHA WANAKATA WANARUDISHA ZAIDI YA MARA 10. HII NI KUUNGUZIANA VITU.
UFUNDI GANI UWO.. KAMA KUNA MTOTO ANACHEZEA SWITCH.
Bora kwenu wanakata na kurudisha.

Sisi wanakata na wanakata kweli unakatika karne
 
Hao jamaa walifululiza kutuma SMS kwa wateja wao wakiomba mrejesho wa huduma zao hadi ikawa kero.

Lakini hawawezi kutuma SMS kutaarifu watu kwamba watakata umeme saa ngapi.
 
TANESCO NI WA KUSHTAKIWA. TANGIA JANA USIKU WANAKATA UMEME WANARUDISHA WANAKATA WANARUDISHA ZAIDI YA MARA 10. HII NI KUUNGUZIANA VITU.
UFUNDI GANI UWO.. KAMA KUNA MTOTO ANACHEZEA SWITCH.

Angalia mita, nishawahi ona huo mchezo nikagundua mita ina ahida wakabadilisha ikakaa sawa.
 
TANESCO NI WA KUSHTAKIWA. TANGIA JANA USIKU WANAKATA UMEME WANARUDISHA WANAKATA WANARUDISHA ZAIDI YA MARA 10. HII NI KUUNGUZIANA VITU.
UFUNDI GANI UWO.. KAMA KUNA MTOTO ANACHEZEA SWITCH.

TANESCO bila mpinzani kazi bure tu, wanafanya wanavyotaka. Waruhusu upinzani, waruhusu waarabu kuwekeza utaona watakavyohaha.
 
TANESCO NI WA KUSHTAKIWA. TANGIA JANA USIKU WANAKATA UMEME WANARUDISHA WANAKATA WANARUDISHA ZAIDI YA MARA 10. HII NI KUUNGUZIANA VITU.
UFUNDI GANI UWO.. KAMA KUNA MTOTO ANACHEZEA SWITCH.
Kwa upande wangu walishanipatia hasara kitambo tu mpaka nikaamua kununua fridge guard. Hata hawajielewi hao.
 
Msemaji wa Tanesco anasema kuna upungufu wa umeme. Waziri Biteko anawaambia Tanesco wafanye wawezavyo kupata solution ya tatizo la umeme. Hapa utasikia tunakodi mitambo ya kudhalisha umeme kwa dharura, yale yaleee.
 
Back
Top Bottom