TANESCO mtatuunguzia vitu

TANESCO mtatuunguzia vitu

TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.

Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Tulieni jamani watu wapige dili zao!
Screenshot_20230927_202333.jpg


Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Acheni hunafki ..umeme mmekata hivyo karibia eneo lote la Dar alafu unauliza eneo lako.
.. leo mmekata umeme usiku mpaka sasa haujarudi uku Bunju. Nyie kama mnavisa na Waziri mpya msitutese sie.
Sasa unaulizwa vizuri unakuja juu kama moto utasaidiwaje kwa jazba hizi?
 
Le
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.

Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
LEo mbezi beach karibu na lieberman school wamekata tangu saa kumi jioni hadi sasa saa tisa za usiku haujarudi wahusika wote wa shirika la tanesco na mawaziri wao walaaniwe wao na vizazi vyao kwa mateso haya tunayoyapata mi sijalala hadi sasahivi kwa joto
 
Sasa hivi watu wanakaribia kuswali alfajiri ndio wanarudisha umeme baada ya masaa zaidi ya 14 kukata. Sijui raisi anajua tabu tunayopata na umeme kukatika au hata kusikia kwamba umeme una shida na wananchi wanaumia.

#Lideresincapaces
#Mamaanzakutumbua
 
Back
Top Bottom