Tulieni jamani watu wapige dili zao!TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Sasa unaulizwa vizuri unakuja juu kama moto utasaidiwaje kwa jazba hizi?Acheni hunafki ..umeme mmekata hivyo karibia eneo lote la Dar alafu unauliza eneo lako.
.. leo mmekata umeme usiku mpaka sasa haujarudi uku Bunju. Nyie kama mnavisa na Waziri mpya msitutese sie.
LEo mbezi beach karibu na lieberman school wamekata tangu saa kumi jioni hadi sasa saa tisa za usiku haujarudi wahusika wote wa shirika la tanesco na mawaziri wao walaaniwe wao na vizazi vyao kwa mateso haya tunayoyapata mi sijalala hadi sasahivi kwa jotoTANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.