TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 4,600 Reaction score 2,134 Jun 25, 2021 #21 walitola said: Rushwa kwa tanesco bado tatizo sana, mama wanamkwamisha sana imajini garama za umeme zimepunguzwa kwa makusudi kabisa hili kila mwananchi apate mwanga sasa wanatokea wauni wachache wanaleta tamaa sijui kama tutafika kwa staili hii Click to expand... Tafadhali tusaidie taarifa kwa siri tatizo ni nini? Namba ya simu na Wilaya husika kwa hatua zaidi
walitola said: Rushwa kwa tanesco bado tatizo sana, mama wanamkwamisha sana imajini garama za umeme zimepunguzwa kwa makusudi kabisa hili kila mwananchi apate mwanga sasa wanatokea wauni wachache wanaleta tamaa sijui kama tutafika kwa staili hii Click to expand... Tafadhali tusaidie taarifa kwa siri tatizo ni nini? Namba ya simu na Wilaya husika kwa hatua zaidi