Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo.

Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani anaulamba na hataki vumbi. Au ni MTU WA ITIFAKI MMEMPA JUKUMU HILI
 
Back
Top Bottom