Au sio mnafiki wakujitegemea 😁😁Tanesco wako sahihi.
Mvua ikinyesha maeneo ya Arusha, Kilimanjaro maji yanajaza nyumbani ya Mungu na Pangani ama Hale.
Mvua ikishenya Morogoro, Mbeya, Iringa , Singida inajaza Kidatu, Mtera, Kihansi.
Mvua ikinyesha Morogoro na Mbeya, Iringa maji yana bwawa la mwalimu Nyerere.
Mvua ikinyesha Pwani, Dar, Kanda ya Ziwa maji yanapotelea baharini na Ziwani.
Hii ni elimu ya kawaida ya kijiografia Tanzania.
Tanesco madako yaoTANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Source swahili times
NB: Lakini hii ni aibu kwa taifa na TANESCO maana TANESCO hawataki masika hawataki kiangazi. Mnapata wapi nguvu za kuitetea CCM