Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Umeona sasa? Hahahaaa hawa jamaa bana….Dah...hii nayo mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona sasa? Hahahaaa hawa jamaa bana….Dah...hii nayo mpya.
Hawa jamaa ni bure kabisa.Umeona sasa? Hahahaaa hawa jamaa bana….
Kwenye kukata umeme tutanesco wako makini sana walah
Na TRA je!¡¡Ongeza NIDA, TTCL, TCRA, ATCL
Ukame ukishamiri wanalalamika mabwawa yanakauka maji [emoji23] [emoji23]Lame excuse
Ongeza na NIDA
Hii imenikuta hii, yaani uonevu mtupu...Shirika la ovyo sana hili ulipie nguzo harafu nguzo sio zako???unapasuka milion na ushee unavuvuta wiki ijayo jirani anaunganishwa kwa laki tatu ww ulie uvuta kwa mamilion ubabaki kucheka tu.Bado sasa ndo unakutana kila siku na visingizio mara maji hakuna mara maji yameharibu miundo mbinu umeme wa shida.Tanesco badilikeni kuweni siriazi bwana km kipindi cha Jpm
Wazo zuri sana mkuu, anza wewe kwanza sisi tupo nyuma yako.Watanzania kama million moja hivi tukijitolea kujiua to commit suicide labda watashtuka
Kwa miaka 6 ya Magufuli hatukuona kiongozi yoyote akitoa kisingizio kama hiki.
R.I.P Magufuli
Hawa Tanesco sinawahi kuwaelewa. Jua na mvua vinawaathiri labda waletewe barafuTANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Source swahili times
NB: Lakini hii ni aibu kwa taifa na TANESCO maana TANESCO hawataki masika hawataki kiangazi. Mnapata wapi nguvu za kuitetea CCM
Hahahaha ccm ni janga la duniaTANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Source swahili times
NB: Lakini hii ni aibu kwa taifa na TANESCO maana TANESCO hawataki masika hawataki kiangazi. Mnapata wapi nguvu za kuitetea CCM
Haya nyamohanga, si ni wewe tu ndiye unayejua jiografiaTanesco wako sahihi.
Mvua ikinyesha maeneo ya Arusha, Kilimanjaro maji yanajaza nyumbani ya Mungu na Pangani ama Hale.
Mvua ikishenya Morogoro, Mbeya, Iringa , Singida inajaza Kidatu, Mtera, Kihansi.
Mvua ikinyesha Morogoro na Mbeya, Iringa maji yana bwawa la mwalimu Nyerere.
Mvua ikinyesha Pwani, Dar, Kanda ya Ziwa maji yanapotelea baharini na Ziwani.
Hii ni elimu ya kawaida ya kijiografia Tanzania.
Mkuu hebu nisaidie kuelewa, mvua ikinyesha hapa Dar maji yanaenda wapi? Yanaweza kusafiri hadi Mtera? Kama hayawezi, je mvua ikinyesha pwani kuna faida yoyote kwenye uzalishaji umeme?Haya nyamohanga, si ni wewe tu ndiye unayejua jiografia
Mkuu wala sio unafiki.Au sio mnafiki wakujitegemea 😁😁
Kwani mvua inanyesha pwani tu mkuu? Samahani lakini nimedandia tu juu kwa juu.Mkuu hebu nisaidie kuelewa, mvua ikinyesha hapa Dar maji yanaenda wapi? Yanaweza kusafiri hadi Mtera? Kama hayawezi, je mvua ikinyesha pwani kuna faida yoyote kwenye uzalishaji umeme?