TANESCO: Mvua zimeleta athari katika miundombinu ya umeme

Msaamua kuwapa mabwana zenu pesa za bure za watanzania fungeni midomo. Muwege na aibu watanzania sio mafala
 
Umeona sasa? Hahahaaa hawa jamaa bana….
Hawa jamaa ni bure kabisa.

Hawa ilitakiwa wapelekwe kijeshi jeshi tu.

Na malipo yao yawe kutokana na task accomplished tu!

Yani ni shirika la kutoa huduma muhimu sana ya nishati ya umeme ila limegeuzwa kama shirika la kutoa huduma za anasa.
 
Watanzania kama million moja hivi tukijitolea kujiua to commit suicide labda watashtuka
 
Hii imenikuta hii, yaani uonevu mtupu...
 
Hawa Tanesco sinawahi kuwaelewa. Jua na mvua vinawaathiri labda waletewe barafu
 
Wangetuambia mapema,msimu huu kila mtu angekinga maji ya mvua then watu wangeenda na ndoo,visado kujaza hayo mabwawa.

Ila nchi yetu kuna mda yaani unakosa cha kuongea daaah sijui wanatuonaje.
 
Hahahaha ccm ni janga la dunia
 
Haya nyamohanga, si ni wewe tu ndiye unayejua jiografia
 
Haya nyamohanga, si ni wewe tu ndiye unayejua jiografia
Mkuu hebu nisaidie kuelewa, mvua ikinyesha hapa Dar maji yanaenda wapi? Yanaweza kusafiri hadi Mtera? Kama hayawezi, je mvua ikinyesha pwani kuna faida yoyote kwenye uzalishaji umeme?
 
Au sio mnafiki wakujitegemea 😁😁
Mkuu wala sio unafiki.

Tunaweza kuwalaumu Tanesco kadri tuwezavyo, hilo halina shida.

Lakini kama mvua hainyeshi kwenye vyanzo wasiseme?

Kwa mfano mvua inanyesha kanda ya ziwa, huko hakuna bwawa la kuzalisha umeme, hayo maji yatakua na faida kwenye umeme ama yatasafiri yenyewe hadi Mtera ama Kihansi kwa njia gani?

Ama mvua inanyeha Kigoma, Tabora, hayo maji yataenda wapi?
 
Mkuu hebu nisaidie kuelewa, mvua ikinyesha hapa Dar maji yanaenda wapi? Yanaweza kusafiri hadi Mtera? Kama hayawezi, je mvua ikinyesha pwani kuna faida yoyote kwenye uzalishaji umeme?
Kwani mvua inanyesha pwani tu mkuu? Samahani lakini nimedandia tu juu kwa juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…