Tanesco na baadhi ya viongozi wenye dhamana Serikalini wanapata faida gani kukata umeme?

Tanesco na baadhi ya viongozi wenye dhamana Serikalini wanapata faida gani kukata umeme?

Mmechukua shirika mkawapa Makamba na Maharage!
Ni afadhali kidogo kwani Prof Muhongo aliwadhibiti kiasi fulani Tanesco.Na ukweli hali ilianza kuwa nzuri kuanzia kwa Muhonngo.
Iliendelea kuwa stable hadi pale tu alipoingia January.Asee hali ni tete sana.

Kila waligusalo Makamba Jr na wenzie lazima kiharibike tu. Hii ni nongwa kwa taifa!
 
Mnaandaliwa kwa ajili ya majenereta ya kukodi.

Na hapo ndipo faida wataipata.
 
Back
Top Bottom