Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jan 12, 2022 #21 Unknown2 said: Mmechukua shirika mkawapa Makamba na Maharage! Click to expand... Cashman said: Ni afadhali kidogo kwani Prof Muhongo aliwadhibiti kiasi fulani Tanesco.Na ukweli hali ilianza kuwa nzuri kuanzia kwa Muhonngo. Iliendelea kuwa stable hadi pale tu alipoingia January.Asee hali ni tete sana. Click to expand... Kila waligusalo Makamba Jr na wenzie lazima kiharibike tu. Hii ni nongwa kwa taifa!
Unknown2 said: Mmechukua shirika mkawapa Makamba na Maharage! Click to expand... Cashman said: Ni afadhali kidogo kwani Prof Muhongo aliwadhibiti kiasi fulani Tanesco.Na ukweli hali ilianza kuwa nzuri kuanzia kwa Muhonngo. Iliendelea kuwa stable hadi pale tu alipoingia January.Asee hali ni tete sana. Click to expand... Kila waligusalo Makamba Jr na wenzie lazima kiharibike tu. Hii ni nongwa kwa taifa!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 12, 2022 #22 Inasikitisha sana...
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Jan 21, 2022 #23 Mnaandaliwa kwa ajili ya majenereta ya kukodi. Na hapo ndipo faida wataipata.