Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani...
Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri (Kujenga Barabara) huyu mama atafanya Shida za Umeme kuwa historia Huyu mama kwa kuwekeza kwa hizi Pesa atafanya Umeme kuwa historia !!!!!
Ingawa na Mama anasema mpaka sasa hajui hizo pesa zitatoka wapi lakini ndio hivyo na Mikataba ishasainiwa...