Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Kimsingi,huu mkataba wa kununua umemem unaweza ukawa na lojiki, japo sidhani. Jambo la msingi ni Tanzania na Samia kutoingia kichwa kichwa bila kuwa makini kuona long term implications ni nini,kama wanavyofanya siku zote. Wauweke wazi huo mkataba tuuchambue. Mkataba wa umeme Samia na Mbarawa ndio wanapitisha, unategemea nini hapo, kupigwa tu!Watakovo kueleza watatumi mfano wa choo kikiwa juu mlimani si rahisi kujaa haraka
Kabisa nakazia hapo hapoAcheni kuendesha hii nchi kinyume cha maumbile
Tibaijuka wamemweleza eti ni kwa ajili ya energy security. Sasa lini tena tumebadilisha objective ya kununua umemem toka Ethiopia kwa nia ya kukwepa transmission losses na kwenda kwenye supply security?Yah. Nenda sima post ya Tibaijuka ... Ameeleza sawa na hivyo usemavyo.
Kingine walitakiwa watuambie miundo mbingu ya umeme toka huko Ethiopia kuja kwetu ni wa voltage kiasi gani ? Labda uwe kuanzia 765kV au 1000kV kwenda mbele. Ambao kwa Sasa rate voltage hizo sisi hatuna haja nazo.Tatizo kubwa la wanasiasa wa Tanzania ni kufikiri kwamba Watanzania wote hawana uwezo wa kufikiri, na hivyo huridhika kutoa maelezo mepesi ya kisiasa hata kwenye mambo ya kisayansi.
Mfano ni hili la kupeleka umeme mikoa ya Kaskazini, ambapo Tanesco wanasema gharama za transmission ni kubwa - wao wanaziita hasara, na ni afadhali kununua umeme kutola Ethiopia!
Sasa mtu mwenye akili atajiuliza, kwani huo umeme wa kununua kutoka Ethiopia kuja Tanzania unapitishwa kwenye medium gani ambayo haina transmission losses mnazosema huku kwetu ni gharama sana? Na kumbuka kwamba source ya umeme toka Ethiopia iko mbali zaidi ya source yeyote ya umeme ndani ya Tanzania kwenda mikoa ya kaskazini. Kama transmission losses zinaendana na umbali, basi gharama ya transmission losses ya kuleta umeme toka Ethiopia yapaswa kuwa kubwa zaidi (angalia ramani hapo chini)
View attachment 3265426
Kumbuka kwamba, ili Ethiopia watuuzie umeme wao, lazima wana factor-in transmission losses zao za kutoa umeme Ethiopia kuja Tanzania. Sasa ikiwa sisi Tanzania kulipia transmission losses za Ethiopia ni nafuu kuliko kubeba transmission losses za line zetu wenyewe, ni kitu gani ambacho Ethiopia wanafanya kwenye hiyo transmission line yao kuja Tanzania ambacho sisi kimetushinda kufanya? Tilia maanani kwamba umeme wa Ethiopia na Tanzania wote unatokana na maji, hivyo gharama za uzalishaji ni karibu sawa.
Na mikataba ya kununua umeme ni ya muda mrefu siku zote. Kama issue ni transmission lines, kwa nini tujifunge kwenye mkataba wa muda mrefu (lock in effect) badala ya kuwa na mkakati wa kuboresha transmission lines kwa faida za muda mrefu?
Najua Tanesco mmetoa tamko kuuunga mkono kauli ya Raisi Samia mkijua wazi maelezo yenu hayajitoshelezi. Mmejitoa akili ili msijbu kuendana na kauli za wanasiasa, na si mara ya kwanza mnafanya hivi.
Acheni kuendesha hii nchi kinyume cha maumbile. Serikali iseme ukweli kuhusu lililo nyuma ya pazia kutaka kununua umeme toka Ethiopia. Acheni maelezo ya kisiasa kwenye mambo ya kisayansi.
Hawa jamaa maelezo yao hayajitoshelezi, walitakiwa watoe maelezo ya ndani zaidi. Hili suala linahitaji mjadala wa wazi baina ya wataalamu.Kuna mtu nimesikia anasema .. umeme wa ethiopia (grid husika ya kuchukua umeme had mikoa yetu ya tz) tiar upo (ipo) karibu TZ ndani ya kenya ...
So Ikiwa grid ya taifa letu inayofika kaskazini ilihitaji kuongezewa nguvu (as matumiz ya ukanda husika ni makubwa na hayafanani na nguv ya grid husika mpaka sasa) bas ni bora tutumie grid ya Ethiopia as inaweza tugharim gharama kubwa zaid ku upgrade ile ya kwetu .. inayoenda kaskazini.....
Kwa maelezo zaid ni kua tungeweza ku uograde. Lakini ukizingatia kua kuna hasara ya kusafirisha umeme pia bas ni bora tu tuikwepe kwa kununua ule wa ethiopia ambapo wao binafsi nda watawajibika na huku kupotea kwa umeme hapo katikati ktk kuusagirisha.
Hoja ya pili ni diversification. ... (Hatupaswi kutegemea chanzo kimoja)
Point nzuri. Kama wanasema transmission infrastructure ipo tayari, ni lini tathmini imefanyika kuangalia uwezo wa hiyo grid toka Ethiopia? Je wameangalia reliability yake? Wameangalia scalability yake kwa kuwa haikujengwa with transmission to Tanzania in mind? Wameangalia technological compatibility (HVDC au HVAC) na kama imetumia aluminum au copper conductors kwa hiyo ina losses za chini ukilinganisha na za kwetu? Wameangalia nini itakuwa impact kwenye grid resistance and inductive reactance watakapounganisha na Tanzania? Je itaunganishwa na na grid iliyopo ya upande wa Tanzania, na kama ndio, wameangalia connectivity? Na isipounganishwa na grid ya Tanzania, siku umeme wa Ethiopia ukifeli then hiyo mikoa ya kaskazini itakuwaje?Kingine walitakiwa watuambie miundo mbingu ya umeme toka huko Ethiopia kuja kwetu ni wa voltage kiasi gani ? Labda uwe kuanzia 765kV au 1000kV kwenda mbele. Ambao kwa Sasa rate voltage hizo sisi hatuna haja nazo.
Lakini ukienda Arusha tu huko tayari miundo mbinu ya 400kV ipo.
Sasa sijajua wenyewe wanatumia akili gani, wengine ukiwauliza wanadai ni Grid Stability, yaani wanastabilize Grid ?
Point nzuri. Kama wanasema transmission infrastructure ipo tayari, ni lini tathmini imefanyika kuangalia uwezo wa hiyo grid toka Ethiopia? Je wameangalia reliability yake? Wameangalia scalability yake kwa kuwa haikujengwa with transmission to Tanzania in mind? Wameangalia technological compatibility (HVDC au HVAC) na kama imetumia aluminum au copper conductors kwa hiyo ina losses za chini ukilinganisha na za kwetu? Wameangalia nini itakuwa impact kwenye grid resistance and inductive reactance watakapounganisha na Tanzania? Je itaunganishwa na na grid iliyopo ya upande wa Tanzania, na kama ndio, wameangalia connectivity? Na isipounganishwa na grid ya Tanzania, siku umeme wa Ethiopia ukifeli then hiyo mikoa ya kaskazini itakuwaje?
Ndio maana nikasema, Samia na Msigwa wasichukulie haya mambo kisiasa katika kutafuta kura za kaskazini na kuwaburuza TANESCO
FactPoint nzuri. Kama wanasema transmission infrastructure ipo tayari, ni lini tathmini imefanyika kuangalia uwezo wa hiyo grid toka Ethiopia? Je wameangalia reliability yake? Wameangalia scalability yake kwa kuwa haikujengwa with transmission to Tanzania in mind? Wameangalia technological compatibility (HVDC au HVAC) na kama imetumia aluminum au copper conductors kwa hiyo ina losses za chini ukilinganisha na za kwetu? Wameangalia nini itakuwa impact kwenye grid resistance and inductive reactance watakapounganisha na Tanzania? Je itaunganishwa na na grid iliyopo ya upande wa Tanzania, na kama ndio, wameangalia connectivity? Na isipounganishwa na grid ya Tanzania, siku umeme wa Ethiopia ukifeli then hiyo mikoa ya kaskazini itakuwaje?
Ndio maana nikasema, Samia na Msigwa wasichukulie haya mambo kisiasa katika kutafuta kura za kaskazini na kuwaburuza TANESCO
Tanesco wanamzunguka mama ili wamharibie duuh !Hata mimi nimeshindwa kushangaa nime pigwa na butwaa. Kutoka Grand renaissance dam ilipo sehemu inaitwa Guba mpaka Arusha Tanzania ni 2,292 Km. Inaweza ikapungua kidogo au ikaongezeka kidogo. Hivyo transmission loss inategemea kuwa kubwa. Mwalimu wangu wa umeme nikiwa Tanga Technical school form one alinifundisha kuwa ' The longer the wire, the bigger the resistance'. Kutoka Mwalimu Nyerere Dam mpaka Arusha city ni kama 800 Km ya weza kuwa zaidi kidogo au pungufu. Kwa mujibu wa Mwalimu wangu wa Electrical Engineering ni wazi kuwa umeme toka Ethiopia unapotea mwingi toka kwao mpaka Arusha /Moshi kuliko wa Nyerere Dam mpaka Arusha / Moshi. Labda wenzetu wanatumia 'Hardened copper'. Na Tanesco wanatumia Bronze wala siyo normal Copper.
Na wakumbuke walisema tanzania itakuwa na umeme wakutosha na mwingine watauza nchi nyingine jirani,hizi kauli bhana,hakika njia ya muongo huwa ni fupi.Nimeona mahali wanasema eti ni kwa usalama wa nishati (energy security) kuchukua umeme vyanzo mbalimbali.
Sasa najiuliza, energy security kwa Tanzania ni kwa mikoa ya Kaskazini tu? Hapo ndipo akili ya Tanesco imeishia katika suala la energy security?
Halafu sasa, wao wameshasema ni kwa ajili ya transmission losses kubwa. Sasa wanabanwa wanaanza kusema ni kwa ajili ya energy security!
Halafu huo umeme wa Wahabeshi tunaulipia kwa dollar kama petroliTatizo kubwa la wanasiasa wa Tanzania ni kufikiri kwamba Watanzania wote hawana uwezo wa kufikiri, na hivyo huridhika kutoa maelezo mepesi ya kisiasa hata kwenye mambo ya kisayansi.
Mfano ni hili la kupeleka umeme mikoa ya Kaskazini, ambapo Tanesco wanasema gharama za transmission ni kubwa - wao wanaziita hasara, na ni afadhali kununua umeme kutola Ethiopia!
Sasa mtu mwenye akili atajiuliza, kwani huo umeme wa kununua kutoka Ethiopia kuja Tanzania unapitishwa kwenye medium gani ambayo haina transmission losses mnazosema huku kwetu ni gharama sana? Na kumbuka kwamba source ya umeme toka Ethiopia iko mbali zaidi ya source yeyote ya umeme ndani ya Tanzania kwenda mikoa ya kaskazini. Kama transmission losses zinaendana na umbali, basi gharama ya transmission losses ya kuleta umeme toka Ethiopia yapaswa kuwa kubwa zaidi (angalia ramani hapo chini)
View attachment 3265426
Kumbuka kwamba, ili Ethiopia watuuzie umeme wao, lazima wana factor-in transmission losses zao za kutoa umeme Ethiopia kuja Tanzania. Sasa ikiwa sisi Tanzania kulipia transmission losses za Ethiopia ni nafuu kuliko kubeba transmission losses za line zetu wenyewe, ni kitu gani ambacho Ethiopia wanafanya kwenye hiyo transmission line yao kuja Tanzania ambacho sisi kimetushinda kufanya? Tilia maanani kwamba umeme wa Ethiopia na Tanzania wote unatokana na maji, hivyo gharama za uzalishaji ni karibu sawa.
Na mikataba ya kununua umeme ni ya muda mrefu siku zote. Kama issue ni transmission lines, kwa nini tujifunge kwenye mkataba wa muda mrefu (lock in effect) badala ya kuwa na mkakati wa kuboresha transmission lines kwa faida za muda mrefu?
Najua Tanesco mmetoa tamko kuuunga mkono kauli ya Raisi Samia mkijua wazi maelezo yenu hayajitoshelezi. Mmejitoa akili ili msijbu kuendana na kauli za wanasiasa, na si mara ya kwanza mnafanya hivi.
Acheni kuendesha hii nchi kinyume cha maumbile. Serikali iseme ukweli kuhusu lililo nyuma ya pazia kutaka kununua umeme toka Ethiopia. Acheni maelezo ya kisiasa kwenye mambo ya kisayansi.
Hawa watu katika kukuelewesha huwa wanakuchanganya ili uelewe! Watasema hatujasaini mkataba wa bandari ya Bagamoyo, ila tumewapa waarabu bandari, kwa hiyo msihofu hakuna mkataba mbovu umesainiwa!kwamba tunanunua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya
Halafu sisi Tz tunawauzia Kenya
kwmba umeme wa Ethiopia unazalishwa kwa gharama nafuu na no mwingi kuliko sisi ao megawatts 6000 sisi megawatts 2000
π€π€π€π€
Yaani mimi sijaelewa kabisa
Sii wananua hatuna ujasiri kama wa talibans.....Sijui wanatuonaje hadi inafika hatua wanatudanganya