TANESCO na Msigwa mtuambie kwanini umeme wa Tanzania kwenda Kaskazini una transmission losses kubwa kuliko wa Ethiopia kuja kwetu, mbali zaidi!

Kutoka kutaka kuuza mpaka kununua umeme Ethiopia lol!

Kama tunashindwa kuutoa umeme bwawa la mwalimu nyerere kwenda kigoma na Arusha ndio tutaweza kuutoa bwawa la mwalimu nyerere kwenda DRC au tulitaka kuuza online?
Waliotoa matamko ya kuuza umeme nje inaonekana ni mbumbumbu sana wa mambo ya power transmission. Walifikiri umeme unauzwa kama kumrushia mtu data!
 
Bila shaka huu ni umeme mahususi for ZANZIBAR..
 
Nashauri tusinunue umeme nje,badala yake tuboreshe transmission line zetu kwa ubora unaotakiwa kwa gharama yoyote, tutumie umeme wetu.
Huo umeme unaonunuliwa si unapitia hizohizo transmission line zetu mbovu tokea Namanga,huo upotevu si utaendelea?
Tusikurupuke,labda kama kuna jambo jingine.
 
Bila shaka huu ni umeme mahususi for ZANZIBAR..
Yes, umeme wa bara upelekwe Zanzibar wakatumie bure na huku bara mtanunua toka Kenya, Uganda, na Ethiopia, tena kwa bei ya juu na utalipiwa kwa dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…