The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hi Great thinkers.
Kati ya Tasisi amabazo zinaitesa sekta binasfi ni TANESCO. Mi nafikiri wanatia fora kwa sasa.
Ule ukiritimba wa TRA na BRELA wakasome, kwa sasa sekta binafsi zinateseka sana na mgawo wa umeme. Kiasi amabcho inakatisha tamaa hata kumvutia mwekezaji mpya.
Magufuli alipokuja na Tanzanaia ya viwanda alitaka kuhhakikisha tuna umeme wa kutosha na stable ndo maana akaanza ujenzi wa bwawa la Nyerere haraka sana.
Najiuliza hivi viongozi waliopo sasa hivi hawaoni namna viwanda inavyoteseka na mgao wa umeme. Hawaoni uchungu wa kupoteza mabilions of money kila siku huku sekta binafsi?
Shida ni nini? Tanesco ya sasa Wanakata umeme hovyohovyo.
Sometimes inatutia aibu kwa foreigners na tunakosa jeuri na kujiamini .mbele yao hasa linapokuja suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika Tunaonekana watanzanaia wote ni ng'ombe.
Afu mwisho.wa mwaka serikali mnataka kodi kwa hawa wawekezaji nao Wafanyakazi wanataka annual increamnet how. Kwa uzalishaji upi?
I wish i were a president watanzania mgelimia meno.