TANESCO ni miongoni mwa taasisi za umma zenye wafanyakazi wasio na ufanisi

Tatizo nyie watu wenye vijipesa mnadhani nyie ndio wa muhimu kuliko wote. Kaa kwenye foleni usubiri zamu yako ifike.
Kuna wengine walishalipia kabla yako na wako wanasubiri kuhudumiwa.
Otherwise 'pitia mlango wa nyuma' uhudumiwe fasta.
Una maanisha Rushwa?
 
Tafuta wakili mzuri muwashItaki mpige pesa bila jasho.

Fanya kama wazungu wanavyotufanyia sasa hivi.
 
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi.

Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao 4.9m (million nne laki 9) wakanipa control number nikalipia.

Nikasubiri umeme kufungiwa, ikawa kesho, kesho, kesho. Majibu Yao ni kesho tu. Mwishowe wakawa hawapokei simu. Yaani unapiga simu kutwa nzima hawapokei.

Utafikiri naomba msaada wakati pesa nimeshawalipa, au wanaandaa mazingira ya Rushwa?

Nchi haiendelei kwa watu jama hawa. customer service.
pole sana.. sio tu hawana ufanisi ni wa hovyo hovyo tu
 
Piga simu makao makuu ile customer care. Utakuja kunishukuru.
 
Naunga mkono hoja TANESCO WABABAISHAJI SAAANA wenyewe wanajiona wako sawa
 
TANESCO ni janga mpaka Leo sijaunganishiwa Umeme.
 
Back
Top Bottom