TANESCO ni miongoni mwa taasisi za umma zenye wafanyakazi wasio na ufanisi

Tatizo nyie watu wenye vijipesa mnadhani nyie ndio wa muhimu kuliko wote. Kaa kwenye foleni usubiri zamu yako ifike.
Kuna wengine walishalipia kabla yako na wako wanasubiri kuhudumiwa.
Otherwise 'pitia mlango wa nyuma' uhudumiwe fasta.
Una maanisha Rushwa?
 
Tafuta wakili mzuri muwashItaki mpige pesa bila jasho.

Fanya kama wazungu wanavyotufanyia sasa hivi.
 
pole sana.. sio tu hawana ufanisi ni wa hovyo hovyo tu
 
Piga simu makao makuu ile customer care. Utakuja kunishukuru.
 
Naunga mkono hoja TANESCO WABABAISHAJI SAAANA wenyewe wanajiona wako sawa
 
TANESCO ni janga mpaka Leo sijaunganishiwa Umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…