TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku.
wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi wamehimizwa kufanya manunuzi ya umeme mapema ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza.
GaPzXGIWgAAlNic.jpg
 
Back
Top Bottom