Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Serikali itachukua Kodi + devident Toka kwa sekta binafsiKwahiyo serikali itachukua kodi from private company au private company itakuwa inachukua kodi kutoka serikalini?
Hapa usipotumia akili unapigwa
WanatupangaUhuni mtupu.
Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.
Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
Ila chonde chonde msilitumbukize Taifa kwenye shida hasa ya kimikatabaYes, mwelekeo wa hii PPP ni sahihi sana
Katiba mpya haitatambua PPP au haitamtambua tu Kafulila?Wanatupanga
Ni uhuni
Katiba Mpya itatuondolea huu upuuzi
Of course this is the right time for the government to be under merchant control
Matamko haya needs to come from tanescoView attachment 3116051
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.
In summary:
October 5, 2024
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s
◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO
◾Involvement of the private sector in construction of high-voltage power lines will free up government resources for other projects and expand access to electricity
𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
unamheshimu kichaaMkuu huwa nakuheshimu sana hapa jukwaani haya unayoyaandika sio sawa
Cc: JPMView attachment 3116051
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.
If successful, these will be the first ever Public-Private Partnership (PPP) power transmission projects in Tanzania's history.
In summary:
October 5, 2024
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s
◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO
◾Involvement of the private sector in construction of high-voltage power lines will free up government resources for other projects and expand access to electricity
𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
Bandari imeleta madhara Gani kwa Raia wake?Ndio yale yale ya bandari tulijua ujio wa ubia na serikali bei ingeshuka lakini ndio imepaa juu mara dufu. Ndio linalo enda kutokea kwenye UMEME katika TAIFA la Tanganyika yangu. Sijui serikali hii inaweza nn yenyewe?
All the best
Wapi huko??!Tuone kama nguzo zitanifikia.
😞😞😞
Iringa vijijini..Wapi huko??!
Serikali itakamilisha ugawaji wa umeme katika kila Kijiji kabla ya Dec 2025 so vumilia kidogoIringa vijijini..
Nguzo moja ilikuwa laki 3 wakishapewa hao wahindi kufungiwa umeme itakuwa milion 1 na units moja ni tsh.500.Tuone kama nguzo zitanifikia.
😞😞😞
Wakalime tu nadhaniVipi survival ya vishoka imekaaje
Punguza upotoshajiNguzo moja ilikuwa laki 3 wakishapewa hao wahindi kufungiwa umeme itakuwa milion 1 na units moja ni tsh.500.
Lazma maji muite mma mwaka huu. Na ukifuatilia deep down utakuta ni shere tu inachezwa kama DP welding.
Sababu zile zile, vita ya Israel na Iran 😂😂😂
Sawa tuupe mkono muda.Punguza upotoshaji